Saturday 19 May 2007

Ashante Ndani Ya Orange!


Nadhani kuna rangi nyingine huwa kuziona katika ubunifu flani lazima ujiulize mara mbili mbili immekuwaje kwakuwa huwa ni adimu sana kutumika katika ubunifu katika mavazi flaniflani....kama hiyo rangi ya orange kwa kiasi gani ilivyolifanya hilo gauni la Asante limpendeze a kureflect vizuri sana ingawa mrembo mwenyewe pia ni mzuri sana na ana umbo la kuvutia pia...mnasemaje hilo gauni warembo?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I like the way the dress is designed and the color coz it fits her very well and the way beautiful she is the dress is even looking more attracting on her

Anonymous said...

Hiyo picha ya pili Ashanti alikuwa anafanya nini? maana kila mtu anajua kuwa Ashanti kucheza mziki hajui.