Saturday, 19 May 2007

Kati Ya Hayo Magauni 3 Ya Harusi...Umelipenda lipi Mrembo?


Warembo leo nimeona niwape stock nyingine inayohusiana na mambo ya magauni ya harusi kwakuwa hata aina hii ya mavazi kwasasa imefanyia marekebisho na ubunifu w hali ya juu sana na hata kufikia kubuniwa katika hali ya usimple kuliko tunavyotegemea...embu kati ya hayo magauni kuanzia la kwanza juu,katikati na la mwisho kabisa ni lpi umelichunuku na kulipenda mrembo?


3 comments:

Anonymous said...

la kwanza limetoka bomba sana yaani kama ingekuwa harusi kama kesho ningefuata hilo la kwanza nimelipenda, asante mwaya kwa mambo yako nimeyaona ni mazuri sana

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the first design if it was that i am getting married in some months to come i would have ordered that for my bride it luks nice and does not have a lot stuff its beautiful and simple

sophia said...

Mimi bwana nimelipenda la pili lenye mkanda wa purple. Yaani mimi siku nikiolewa lazima nivae gauni ya dizaini hiyo maana hizo gauni huwaga mpaka naziota, that's my dream dress....one day....it's just a matter of time.