Saturday 19 May 2007

Simple Daytrip Stocks!








Sina la usema hapo warembo ila ni nyie tu kupata nafasi kujilipua na stock kama hizo pichani...embu tazama kuanzia picha ya kwanza juu ni Large Tear Drop Necklace,Polka Dot Sweater,Freshwear Eyelet Casual Short na chini ukimalizia na aina hii ya kiatu inayojulikana kama Sole Smokey Shoe...warembo mnaonaje matching hiyo?nadhani mtakubaliana na mimi moja kwa moja kwamba huo mdungo ni soo..kazi kwenu!


1 comment:

Anonymous said...

Well...I m addicted in shoes...I love them