Friday, 29 August 2008

FASHION CREATIVITY...


Fashio Creativity (Ubunifu) ni kitu ambacho before hajafanya au kufikiria mtu kukifanya anakuja ama kutokea mtu wa kukifanya na baada ya hapo maswali yanaanza kuwaumiza watu vichwa kwa kujiuliza ...je huyo mbunifu alifikiria nini mpaka akafanya kitu kama hicho...basi leo naomba mcheki wenyewe wa Air Force hiyo iliyofanyia ubunifu kwaajili ya Barack Obama...Mnaonaje Ubunifu Huo?Thx Tk kwa Stock hii....

No comments: