Wadau huyo ndio Jennifer Lopez (jlo) anavyoonekana sasa..je wadau baada ya Jlo kuzaa na nini ....bado mnadhani shape yake ameweza kuiweka palepale au amechujuka?
mi naona kazidi kuwa mzuri bwana na muonekano wake umetuliaah walahi mtoto huyu angekuwa bongo ningefight awe hata wifi yangu basi,ingawa najua kaka yangu asingechukua muda kupigwa kibuti LOL!
2 comments:
hajachujuka kabisa ila ameuwa mtu mzima sasa

Post a Comment