Sheria big up sana Man,Unajua u designer wako mimi kama mimi waukweli naukubali sana tena sana coz hata wanene kiasi wanaweza kutoka km vile Mavazi Family nk.
Upo tofauti sana na Ma Designer wengine wa Tz na hata duniani kwa ujumla huwa wanachukua ma modo wembamba sana.
Tunataka tofauti km hivyo ulivyoanza braza ili tu enjoy zaidi na zaidi. Nice job Braza.God Bless u.
This is very nyc mate,yani kama mafashion week flani wanyofanya wakina Domenico Dolce n Stefano Gabban,wakina Donatella Versace,cavalli n many mo.trust me u'll soon b lyk dem.big up broo
kwanza once again napenda kuwashukuru sana wadau wng wte wa s&m,waukweli,femmy,helen na wte kwa kunipa support kubwa sana...thx helen classmate wng wa forodhani nashukuru sana sana...i appreciate
5 comments:
Sheria big up sana Man,Unajua u designer wako mimi kama mimi waukweli naukubali sana tena sana coz hata wanene kiasi wanaweza kutoka km vile Mavazi Family nk.
Upo tofauti sana na Ma Designer wengine wa Tz na hata duniani kwa ujumla huwa wanachukua ma modo wembamba sana.
Tunataka tofauti km hivyo ulivyoanza braza ili tu enjoy zaidi na zaidi.
Nice job Braza.God Bless u.
GOOD JOB classmate wa forodhani,
waiting for more uniquely Sheria products....helen
and i hope hutasahau Uafrika wetu...we still got alot of fashion yet to be explored here!!!

Post a Comment