Sheria my Brazaaaaaaa,Congrt sana2,Sasa ni zamu yako ya kutoka ki Fashions zaidi.Braza mwendo ndio huohuo usirudi nyuma. Sina la kusema ila naweza kukuambia GUD BLESS U.
kazi njema Sheria...ila nimemind sana...cos hujatualika na hujatuambia kama uko huku doing that na kwamba umeshaanza kujishughulisha... yani unatutupa fans wako bwana. I aint like that.
12 comments:
job well done Sheria!!
speechless bro....I like it
bro much respect!! thats levels they cant reach!!
Thx rosemary,jacob na candy kwa pongezi zenu..inshort nawashukuru sana sana kwa support zenu...
Thx rosemary,jacob na candy kwa pongezi zenu..inshort nawashukuru sana sana kwa support zenu...
It's a nice job! It serves the purpose of a brand, maana tumezoea brand za nguo zisizotutosha sie wenye maumbo ya pakacha. The models were superb
keep it flyin
Hongera Sheria!
well done kwa kazi nzuri bro!!
r u the one whom u did primary school at forodhani btn 1991 upto 1997.
it's me khalid
Sheria my Brazaaaaaaa,Congrt sana2,Sasa ni zamu yako ya kutoka ki Fashions zaidi.Braza mwendo ndio huohuo usirudi nyuma.
Sina la kusema ila naweza kukuambia GUD BLESS U.
kazi njema Sheria...ila nimemind sana...cos hujatualika na hujatuambia kama uko huku doing that na kwamba umeshaanza kujishughulisha... yani unatutupa fans wako bwana.
I aint like that.
Hs
nimesusa sana
thx simon,khalid...khalid hujakosea kbs mimi ndio sheria niliyesoma forodhani miaka hyo...vpi wewe uko wapi now?
All can i say is i am suprised and congratulations mkuu
Post a Comment