Saturday, 29 November 2008

Nuru & Alikiba Walipowasha Moto Ndani Ya Stockhom






Wanamziki walioko juu kwenye fani ya muziki kutokea Bongo Nuru na Alikiba walifanya show ya nguvu ndani ya mji wa Stockhom,Sweden 22 November...Show hiyo ilifunguliwa rasmi na mwanamziki,mrembo Nuru Pichani Juu na kumaliziwa na Alikiba...Well Done Nuru
Picha Zote Kwa Hisani Ya Nuru

No comments: