Tuesday, 9 October 2007

Marc Ecko Polo





Marc Ecko Polo,Silver Grayson Jean,Green white.....hayo ndio mapigo ya leo wakubwa nadhani mmenisoma nilivyowapa hiyo stock iliyokwenda kidato kinoma iko simple sana.........mzee mzima Gusto upo hapo?

1 comment:

  1. T bebiiiiiiii mambo yako hayo
    simple n clasic nakuaminia snaaa

    ReplyDelete