Friday, 18 September 2009


Eric Kilewo Afanya Kweli
Ma Bro Eric Kilewo ameamua kuachana na ukapera na kufunga ndoa na Bi Magreth kwenye kanisa la Msasani Lutheran jijini dar es salaam.

Congratz Ma Bro

Kwa huduma za picha mbalimbali za harusi Wasiliana na Abdallah Mrisho Salawi 0713 839363 au Email:amsalawi@yahoo.com

1 comment:

Anonymous said...

Hee jamani Eric, Hongera sana jamani.Ulikuwa mbele yangu Mawenzi Primary na mama ako alikuwa mwalimu wetu na pia nilisoma na mdogo Edith jamani yuko wapi siku hizi?nimewaiss sana jamani.Hongera saaana mwenyezi mungu awatangulie ktk maisha yenu mapya mliyoyaanza.Jacqueline Wilbard