
Gospel Nchini Germany!
Kwa mara nyingine tena tunapenda kuwataarifu kuwa Muimbaji maarufu wa Gospel Mtanzania nchini Germany,Godlove Muliahela anazidi kwenda juu katika Gospel Music Chat.Hii ndiyo Poster yake ya Christmas Gospel Concert ambayo itafanyika jijini Mülheim tarehe 18.12.2009 katika ukumbi wa kihistoria.
1 comment:
Awesome!!
Post a Comment