Wednesday, 21 March 2007

Kimbiza Bovu!


Wadau wangu kama mjuavyo na muonavyo hapo pichani ni jinsi tu watu wanavyojilipua kwa catalogue tofauti na kukimbiza bovu,si lazima uige ila inapobidi lazima ufanye hivyo,kama pichani ni Mwanamziki Maarufu Usher akiwa ametoka kwenye bash moja la mastar huko mbele akiwa kajilipua na black adidas,jeanz fedout,shati jeupe ndani na sweater jeusi na kukandamiza au kushindilia na miwani juu oversize...jamani msijifikirie ni balaa tupu !!!!


2 comments:

Anonymous said...

that iz.......huu ndo mlipukoo unaokubalika

Anonymous said...

ulijuaje jamani brotha?
i feel usher.. na kwa milipuko tuu acha kabisa.. he fits every category you think of, gents..tozi..simple!!!!
Zam'G