Tuesday, 20 March 2007

MZEE WA KOBADHI!

Napenda kumpa shavu nene mzee wa kobadhi...gusto akiwa amejilipua na pamba nyepesi hko mji kati ktk bash moja la bandika bandua.....kusema ukweli nimekusoma mtu mzima na mlipuko ulijilipua nao pamoja na kobadhi limeenda shule...Big Up

No comments: