Friday, 30 March 2007

Nani Zaidi Kati Wanamziki Hawa...... RAY-C Vs K-LYNN ......Kwa Kulipuka Pamba?

Ray-C




K-lynn

Ndugu wadau zangu wa blogu hii nilikuwa naomba maoni yenu kuhusu nani mkali katika kulipuka pamba kali kati ya Wanamziki Mahiri Wa Bongo Fleva Bongo kati ya wabinti warembo Ray c Vs K-lynn?naombaeni maoni yenu wadau?........kazi kwenu....

6 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh kylln usimpimie kabisa kama utakuwa umeona shooting ya wimbo wake mpya wa crazy over you nafikiri utakuwa umekubali ni nini namaanisha maana huyu mtoto si mchezo lazima nimpe compliments zake kwa kupigilia pamba ile mbaya.EEKYHIRXG

Anonymous said...

JIBU UNALO KAKA,KLYN MZIKI WAKE WA PAMBA MZITO.

Anonymous said...

Ray C yuko juu vibaya mno katika pamba na akizipiga analipuka ki Ukwelii na cha ziada figa lake si mchezoo anakimbiza bovu

Anonymous said...

RAY C

Anonymous said...

Rehema Chalamila ni kiboko anamwagika na pamba vibaya vibaya kwenda nje kunamsaidia sana

Anonymous said...

ray c noma..