Tuesday, 20 March 2007

Royal Elastic.....!

Hapo pichani ni aina ya raba chini ya brand ya Royal Elastic,ni brand inayotoa aina nzuri sana za raba ila na bei yake iko juu kiasi chake kama hiyo hapo juu ukitaka kuitungua dukani lazima ikotoke kama $60 ni zinatofautina kwa bei kutegemeana na aina na design! Inatisha...

No comments: