Sunday, 1 April 2007

10.
PRESIDENT JOSEPH KABILA (ZAIRE-DRC).

Ndugu wadau zangu nimeona leo niwawekee TOP 10 za picha za viongozi mbalimbali wa kiafrika naodhani wanajua sana kulipuka na pamba kali na zinawatoa kwelikweli....ila vilevile mnaruhusiwa kuweka maoni yenu kwa mtazamo mtakaoona list hajapangwa swafi......mnakaribishwa sana!

3 comments:

Anonymous said...

Sheria, joseph ndio kiboko yao, kwanza yeye ni mzee wa ma-designer
wa nguvu from Versace to Armani.
Mwili wenyewe unakubali, JK atii mguu pale.

Sheria Ngowi. said...

nashukuru sana mdau wangu kwa maoni yako....nitayafanyia kazi na pia nilifanya hio list ili nijue ni vpi utakuwa mtazamo wenu wadau zangu....nashukuru sana

DERRICK MUSHOBOZI said...

Kwangu mimi mzee wa blogu ningewapanga kufuatana na uzoefu wao wa nje pamoja na wao kujua mambo ya mavazi pia.
Kwanza ninampa compliments zake mzee mzima KOFFI ANNAN huyo ndiye anayeongoza list yangu kutokana na uzoefu alionao wa kuitumikia UN FOR 10 years nilikuwa namfuatilia sana kwenye uvaaji kusema ukweli yuko juu compare to other african leaders hata ukiangalia hiyo suit aliyovaa you can just guess how much does it cost maana hapo kama sio GUCCI,ARMANI,VERSACE,MARKS&SPENCER,DOLCE&GABANA U CAN SEE IT FOR YOUR SELF.
Wa pili kwenye list yangu ngoja nimpe shavu our president KIKWETE nafikiri if you have seen him for the past one or two years pamba zake hasa suit si mchezo naye yuko juu nakumbuka kwenye tour yake ya LONDON alitembela duka la MARKS&SPENCER and to my idea i hope alifanya shopping ya nguvu maana kwanza aliwamwagia sifa sana MARKS&SPENCER halafu hiyo suit aliyovaa hapo kwenye hiyo picha yaani ni imesimama si mchezo hizo strips yaani ziko mahala pake halafu imeendana na tai aliyovaa i guess it might be GUCCI or something like MARKS&SPENCER or ARMANI halafu kumbuka kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje kabla ya kuwa rais kwahiyo natumaini pamba atakuwa anazijua vilivyo.
Tatu nampa shavu rais kijana kuliko wote barani afrika huyu si mwingine bali ni JOSEPH KABILA huyu kwenye pamba naye amesimama ile mbaya ukiangalia kwenye picha suit aliyovaa imemtoa ile mbaya halafu body yake iko safi kama model vile nafikri naye ma-designer atakuwa anawafahamu vilivyo si unaju tena wakongomani kwa kupiga pamba ndio wenyewe.
Nne ninampa shavu mzee kutoka bondeni mzee mzima THABO MBEKI naye hajakosea yuko fight ile mbaya maana wasauzi nao kwenye pamba usiwapimie kabisa wanazidi kupanda juu day by day.
Tano ninampa shavu PAUL KAGAME huyu kasimama ile mbaya kwanza ukiangalia figure akipiga suit lazima nyote mmkubali maana kwanza ni ana urefu fulani ambao nafikiri kila mtu atakuwa anautamani sana atakuwa kwenye 5 feet asikwambie mtu watu warefu siku zote wanaraha yaani sidhani ni pamba gani ambazo wakipiga haziwakai fresh tena KAGAME anatabia ya kuvaa suit ambayo inaendana na mwili wake kwahiyo lazima imtoe ile kisawasawa.
Sita namuweka mzee wa vimwana KING MSWATI wa swaziland huyu nae yuko fit hajakosea sana kweney masuala ya pamba.
Saba nampa heshima zake rais anayejua kuvalia kiafrika kuliko wote OLUSEGUN OBASANJO ni mara chache sana kumuona amevaa suit sijui mara ya mwisho ilikuwa ni lini coz pigo zake lazima watu wote wazi-admire ile mbaya ninampa big up sana anaipeperusha vizuri bendera ya afrika kwenye mavazi
Nane ninampa nafasi rais wa kwanza mwanamke afrika JOHNSON SIRLEAF kutoka LIBERIA naye huyu mama nafikiri wanawake na hata wanaume watakuwa wanakoma na pigo zake maan ziko up to date ukiangalia hiyo picha nafikiri utakuwa unakubaliana na mimi ni kitu gani nina maanisha.
TISA nina mpa nafasi mzee kutoka senegal ABDULAWAYO WADE naye hayuko nyuma ingawa umri unaenda lakini bado yuko fit.
Kumi ninampa jogoo la afrika wanavyopenda kumuita watu naye hayuko mbali kwenye pamba ingawa naye umri unaedna lakini bado yuko fit ile mbaya kwenye pamba naye anafunika.
Mzee mzima wa Blogu ya sheria na mavazi hiyo ndio list yangu mimi nimeangalia vitu vingi,nimeangalia overall jibsi wanavyovaa kila siku na kwenye occasion tofauti wanazoenda kuhudhuria.
Pia ombi langu nilikuwa naomba wadau wa blogu hii tukatane angalau siku moja tukae chini tuongee kubadilishana views na experience sio kila siku humu humu tu au unasemaje mzee mzima wa blogu ya sheria na mavazi nafikiri hii itasaidia sana kufahamiana na kupeana mawazo tofauti hasa kweney masuala ya mavazi na mambo mengineyo mengi yanayohusiana na jamii inawezekana mtu akafungua duka la nguo hajui wapi pa kupata wadau nafikiri kwa sisi kukutana na kufahamiana tunaweza tukafanya mambo mengi tofauti.
Napatikana kwenye this number 0713 700768 na mail yangu ni derrick077@hotmail.com au derrick077@gmail.com i hope mzee wa blogu ya sheria na mavazi tutawasiliana coz nina mambo mengi ya ku-share when it comes to clothes.