Wednesday, 4 April 2007

10.


DESIGNER JOHN VARVATOS.
*ESTIMATED SALES - $
20 MILLION.* Ndugu wadau nimeona leo angalau niwajulishe majina ya madesigners wakubwa na matajiri dunia.Lakini mshishangae kuona hakuna majina ya madesigners wakubwa kama GEORGIO ARMANI,CALVIN KLEIN na TOMMY HILFIGER bali mkae mkijua wa kipindi hichi wafurukuti kwa hao katika Top 10.Kama unamaoni yoyote unakaribishwa sana kuchangia.....!

8 comments:

Anonymous said...

Hivi nikweli unafanya utafiti kabla ya kuweka hizi habari zako? Maana unachemsha karibu kila siku. According to Forbes world bilionaires list 2007 Giorgio Armani is worth 4.5 bn dollars. None of these dudes that you put here even come close to him and you still claim that he can't make in your top 10 list? This is absurd. Do your homeworks dont put your stories before you do a little research. Dont lie to people.

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hapo mdau wangu wa Sheria na mavazi sina la kusema wala kubisha hapo nakubaliana na wewe asilimia 90 hizo asilimia 10 nawaachia wananchi wengine hapo TOP 10 imekaa vizuri maana ma-designer wengine sasa hivi wametulia kabisa hawafurukuti kama vile ARMANI,TOMMY HILFIGER,VERSACE,MILANO,VALENTINO,CALVIN KLEIN WAPO lakini mambo yao sio kwa sanaa huyu RALPH LAUREN(Polo)vitu vyake navipata kisawasawa na ukitakuelewa kuwa huyu jama ni soo hebu angalia wachezaji wengi wa GOLF ukianzia TIGER WOODS halafu ukiangalia huyu jamaa RALPH LAUREN ana operate karibia nchi 11 yaani kwenye hizo nchi kuna stores zake ukianzia STATES,AUSTRALIA,CANADA,CHILE,FRANCE.GERMANY,JAPAN,KOREA,NEW ZEALAND.SPAIN,UNITED KINGDOM,ITALY na RUSSIA sasa ukianzia kwenye shop ping category na nikianza kulist vitu kama POLOS,SPORTS SHIRTS,PANTS,CHINOS,JEANS,SHORTS,SWIM,PERFOMANCE GEAR,SWEATS&TEES,RUGBYS,SWEATERS,OUTWEAR,SPORTCOATS&VESTS,DRESS SHIRTS,TIES,POCKET SQUARES,SUITS,FORMAL ATTIRE,BELTS,LEATHERGOODS,HATS,SUNGLASSES,UNDERWEAR,PAJAMAS&ROBES,SOCKS,FRAGARANCE halafu bado ana design pia GOLF,TENNIS na ukiangalia asilimia nyingi ya wachezaji wa GOLF NA TENNIS wanavaa sana nguo zake mdau wangu wa sheria na mavazi utakubaliana na mimi kwasababu gani huyu jamaa anakamata JACKPOT maana kwanza suit zake zina range kuanzia $1195 hadi $3995 karibia milioni nne au tano za kibongo tie yenyewe peke yake $145 viatu hadi $995 this dude is high i have no comments on that yuko kwenye chati sasa hivi ndau wa sheria na mavazi hope we are together

Sheria Ngowi. said...

naomba tazama forbes kipengele cha health&style sehemu ya THE TASTEMAKERS-FASHION DESIGNERS....Usibishe vitu usivyovijua na vipo na hii sio sehemu ya mjadala ni kazi ya kujitolea......!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Najua mzee wa sheria na mavazi watu watakuwa wameshangaa sana kuona ma-designer maarufu watu waliowazoea kama vile GUCCI,ARMANI,DONATELLA VERSACE,VALENTINO GARAVANI,LV(Luis Vuitton),GIVENCHY,ROBERTO CAVALLI,JOHN GALLIANO,CHRISTIAN DIOR,TOM FORD,VALENTINO ROSSI lakini wakumbuke kuwa kuna msimu sababu ina depend unakuwa una-designs ngapi on thta summer au wanaangalia for how long you have been trading and how many people have been purchasing your clothes na at that moment huko juu kiasi gani kwahiyo mzee mzima wa sheria na mavazi nakubaliana na wewe kuwa RALPH LAUREN yuko juu kwa sasa hivi.
Big uppp mzee mzima wa sheria na mavazi tuko pamoja.
Halafu anonymus hapo juu acha kurukia vitu ambavyo huna uhakika navyo sio unakimbilia kuropoka vitu tu ovyo na kuanza ku-crush watu uliza kwanza na nilijua watu kama nyie mkiisha sikia watu kama GIORGIO ARMANI basi unajua tu ni huyo hakuna mtu mwingine na isitishe unajua tu designer huyo huyo GIORGIO ARMANI dude fanya utafiti before u get into things to u are not aware of them....lol get a life halafu nyie ndio mnaingia kweney blogu hii mnajifanya mnajua kila kitu fanya utafiti dude sio unakimbilia kuangali bilionaires angalia sehemu ya health and style sehemu ya THE TASTE MAKERS FASHION DESIGNERS kama hujui uliza shtttt mnaboa saa zingine

Anonymous said...

http://bp3.blogger.com/_PSI1L9Db3wQ/RfvYqWU5xpI/AAAAAAAAAGI/t255Tuq7Rf4/s1600-h/shoes_iaec1024357.jpg

Sio kubishana ila ni kutaka uwe unafanya utafiti kabla ya kuweka habari kwenye hii blog yako. Inaonekana kuwa suala zima la lugha ndio tatizo. Nimekwenda kwenye hiyo "link" uliyosema na hii ndio niliyokuta "This fall, Forbes.com browsed the glittery world of fashion to pinpoint its ten most influential tastemakers. Some, like Ralph Lauren (nyse: RL - news - people ), have long been household names." Being infuential doesnt necessarily means you are richest. Get the facts before put your stories together. I'm not here to Belittle you, you welcomed comments and by doing so you should expect everything and anything.
Dereck FYI: I do not own anything with Armani label I wear the following: Ermenegildo Zegna, Salvatore Ferragamo, Bruno Magli, Canali, Valentino to name a few. I'm on a too different league to compare to you dude.

DERRICK MUSHOBOZI said...

ANONYMUS I JUST CAN NOT START ARGUING WITH COZ I DONT KNOW YOU EITHER SAYING THAT YOU ARE WEARING ERMENEGILDO ZEGNA ,SALVATORE FERRAGAMO.BRUNO MAGLI,CANALI,VALENTINO I DONT KNOW WETHER ITS TRUE OR NOT COZ THAT IS UP TO YOU SAY IT SO I DONT GIVE A DAMN AS LONG AS YOU KNOW WHAT YOU ARE DOING AND LET ME TELL YOU SOMETHING PEOPLE DONT SAY I WEAR THIS OR THAT I DOUBT YOU SIJUI IT SEEMS YOU ARE NOT AWARE OF WHAT YOU ARE TALKING ABOUT ANYWAY LAKINI AS I KNOW WABONGO SISI TUNA MATATIZO SANA WE DO NOT APPRECIATE OTHERS LAKINI ALL IN ALL LIFE GOES ON WE CAN NOT RELY ON ARGUING WITH ONE PERSON DO YOUR THANG MEN!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

I'm not arguing and will never argue with you or anybody. I'm just trying to tell mr. sherianamavazi to get the facts before put the story on the blog. Thats it.

Derrick: "Halafu anonymus hapo juu acha kurukia vitu ambavyo huna uhakika navyo sio unakimbilia kuropoka vitu tu ovyo na kuanza ku-crush watu uliza kwanza na nilijua watu kama nyie mkiisha sikia watu kama GIORGIO ARMANI basi unajua tu ni huyo hakuna mtu mwingine na isitishe unajua tu designer huyo huyo GIORGIO ARMANI dude fanya utafiti before u get into things to u are not aware of them....lol get a life halafu nyie ndio mnaingia kweney blogu hii mnajifanya mnajua kila kitu fanya utafiti dude sio unakimbilia kuangali bilionaires angalia sehemu ya health and style sehemu ya THE TASTE MAKERS FASHION DESIGNERS kama hujui uliza shtttt mnaboa saa zingine
" you started it and trying to diss on what I was telling mr blogger. Either way your name says it all. You are just a "Bwenga"

DERRICK MUSHOBOZI said...

I am proud of my name and i am proud and pride of my tribe so tell me whats yours ANONYMOUS I guess you might have some pro in your head....