Ndugu wadau zangu hii ni awamu ya pili ya kuwaletea mambo ya Interior Designing ya nyumba tofauti tofauti na muone na muweze kujua ubunifu wa nyumba mbalimbali za wenzetu na tutoe dhana ya kwamba ili nyumba iwe nzuri na ya kifahari ni lazima uwe na hela ndefu...ambayo mimi dhana hiyo nataka itutoke kabisa vichwani kwetu kwakuwa ubunifu ni ustadi wa mtu binafsi na jinsi usimple anaotaka kucreate sense ya style yake....Karibu sana katika mchakato huu...
1 comment:
Wabongo wengi tunasubiri hadi tuwe mamilionea ndio tuweze kufanya mambo kama haya lakini mimi nasema kuwa unaweza ukawa na creation yako kichwani na ukatoka na kitu ambacho kila mtu akiangalia au akiingia ndani ya nyumba yako lazima tu atatoa jicho la nguvu kwa stock ambayo utakuwa nayo ndani vitu vyote vya interior na exterior design ni ubunifu wako mwenyewe ambapo utataka ni jinsi gani uiweke nyumba yako haitaji mamilioni ya pesa ndio ufanye hayo mambo wabongo inabidi tuwe wabunifu
Post a Comment