Sunday, 29 April 2007

Aliwakilisha Tanzania...Nani Alidesign Hiyo Hoody!

Siku Jigga aliposhuka Bongo aliwakilisha na Hoody moja matata sana iliyoandikwa Tanzania...kusema ukweli kwa aliyedesign hii amejitahidi sana kwa kuitangaza nchi yetu sio mpaka utalii na mbuga za wanyama ila hata nguo zikiwa na nembo mbalimbali basi ni tosha kabisa kuipa shavu nchi yetu...sasa nilitaka kuwauliza wadau swali hiyo Hoody aliyovaa Jigga alikuja nayo...na kama alikuja nayo ilitengenezwa na chata gani...Je ni RocaWear?au kama sio hivyo je kama ilitengenezwa palepale bongo ni nembo gani au nani alidesign?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Sheria as far as i know the person who designed that hoody is the dude from Nairobi based in States he's the designer and is the one who did that design

Anonymous said...

Aliye-design ni jamaa wa Jamhuri Wear designer wa Kikenya Pale New York.