Friday, 6 April 2007

BINGO!

Mwanasoka mahiri na maarufu dunia Thiery Henry amekula Bingo la maana sana mwaka huu kwakuwa INTERNATINAL BRAND AMBASSADOR WA BRAND YA MAVAZI YA TOMMY HILFIGER.Kumbuka pia wameamua kumpa shavu kwa kumsaini mkataba mwingine na Brand hiyo kama wadhamini wa Thierry’s new charity, “THe One 4 All Foundation”.Du na jamaa mzee mzima atakuwa anakamua katika kampeni ya matangazo ya brand hiyo na pia maswala ya masoko katika kipindi chote cha Spring and Fall ‘07.Du na nakubalianana ule usemi usemi usemao ALIYENACHO SIKU ZOTE ATAONGEZEWA NA ASIENACHO ATANYANGANYWA HATA KILE KIDOGO ALICHONACHO .....DU GAME HILI TIGHT!

3 comments:

Anonymous said...

Huyo atakuwa anapata mapesa kibao..tena sio kwa mwaka au mwezi..ni wiki moja tu!!...na vilevile namuona na belt ya D&G, looks nice ;-)

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh mzee mzima wa sheria na mavazi hapo ndio ule usemi wa LIFE IS NOT FAIR ndio unakuja hapo maana mtu unaweza kusema hivi mimi nimekosa nini hadi mwenzangu amekuwa hivi lakini all in alll kila mtu kwenye life ana sehemu yake ya kutokea kwa THIERY HENRY nakubali kwanza mzee kwenye pamba yuko fit ile mbaya ninampa big up ametulia ile kisawasawa

Anonymous said...

this dude, every he touches... turn to gold. namkubali sana.
Zam'G