Nilikuwa na swali hili kwa kipindi kirefu sana wadau na sasa nimeona nimepata fursa mwafaka kuwauliza angalau wadau zangu..Hivi inakuwaje kamati ya Miss Tanzania inawalazimisha na kuwaambia washiriki wote wa mashindano hayo pale bongo kuwa wanapokuwa katika mashindano hayo haswahaswa katika seksheni ya vazi la ufukweni wasitembee na vichupi kama huyo mrembo pichani zaidi yake wanavaa na vitambaa kufunika hayo mavazi yao...sasa basi mimi kwa maoni yangu naona kuwafanyia hivyo haisadii kitu ila kuwaharibia confidance wanapokuwa kwenye mashindano hayo na huko wanakokwenda kutuwakilisha...kumbukeni tunawabania pale bongo lakini wakieenda huko wanatembea bila hata kujifunika sasa mimi naona ni kazi bure kuwanyima nyumbani halafu akiwa kwenye mashindano ya dunia anamwaga radhi...basi kama hamtaki home wavae hivyo basi naona hayo maandalizi ya kumwandaa hayana maana na kama kuna vitu vingie mnaona havistahili basi ni bora hata msipeleke washiriki kwenda kushiriki hata hayo mashindano kwakuwa ni kazi bure...au wadau mnaona wanavyofanya kamati ya Miss Tanzania Kwa washiriki ni sawa?embu mtazame miss huyo hapo pichani alivyo na confidance kwenye ushiriki wake kwakuwa kavundwa kuanzia nyumbani na kupewa shavu hata kabla ya kwenda kushiriki mashindano ya dunia...Jamani badilikeni kidogo hii noma!
Thursday, 26 April 2007
Hilo Ni Swali Na Maoni Tu...Naomba Mnisaidie Wadau!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
8 comments:
Kwanza kitu ambacho kinawafanya waandaaji wa Miss Tanzania wazuie washiriki kuonekana na vazi la ufukweni au wakionekana nalo inabidi wawe wamejifunga kitambaa fulani ili kuziba wasionekane au waonekane nusu ni sababu ya mabo makuu mawili kwanza ni kwamba wanasema ile kuonekana vile ukiwa unapita na kichupi ni kwamba unavunja maadili ya kitanzania halafu pili ni washiriki wao wenyewe baadhi yao kukataa.
Mimi ninachosema ni kuwa hakuna maana yoyte pale unawapowazuia huku halafu wanapoenda kwenye mashindano nje ya bado unawakuta wanavaa vile vile sijui lakini mimi sijui kama maadili ya kitanzania yanavunjwa pale msichana atakapo pita na vazi la kichupi mbele za umati wa watu hapo siwezi kusema ndio au hapana sababu kuna baadhi ya washiriki ndio wanafanya au wanaweza kufanya dhana nzima ya suala la umiss ikaonekana uhuni zaidi more than professional tumeona habari nyingi na mengine kwa macho yetu kwahiyo mimi naona hata wakikataza still ni kwamba hata huyo msichana aende kushiriki nje ni lazima tu akubali maelekezo atakayopewa huko na akivaa huko sijui ni nani atamzuia kwahiyo waandaji inabidi waangalie upande mwingine ni namna gani wanaweza wakaruhusu vazi la kichupi bila kuathiri onyesho zima na siku zote kitu chochote kikiandaliwa kwa umakini lazima tu kifanikiwe ni hayo tu mkuu sheria
Maadili baba.
lakini pia huwa kun pre judgement. wanakuwa na chupi tu..... hii inafanywa na majaji pekeyao
Tamaduni tu!Lakini mrembo mzuri hata aipoonyesha chupi kama una jicho unajua.Mimi najicho na naamini wewe unajicho.Lakini ,Mtuakitaka kuwini kidunia ya leo hii ndio sheria.Kesho tutasememengine
It's cos Bongo ain't advancing,dem dumb folks still view bikinis as "Whore-Wear",I remember being at WhiteSands wit my girl n she had a bikini top(shit was kinda tight too,but girl wasnt busting out or anything),mini skirt,n beach sandals,and the fools there were gawking at her like she naked or sumthin.I mean goddamn,whatchu want her to be wearin at the beach,a hoody?Timbaland boots?Pajamas?
I blame this on the media,they gotta stop actin like ery single low cut outfit and ery single tight pair of clothin is explicit n unsuitable,when I come back there i'm gon dress up the ladies in some dresses so low cut you can see shorties bellyring,1
Btw Derrick,the reason people aint commenting on your blog is cos you need to remove the blogger only feature for the comments,leave the comment section open to eryone and you'll start gettin hits
ANONYMOUS 27 APRIL 04:57
i REALLY DON'T UNDERSTAND AT ALL WHAT U ARE TALKING ABOUT CAN YOU TRY TO BE MORE CLEAR THEN I'LL GET WHAT YOU ARE TRYING TO SAY.......
anakwambia, watu hawachangii kwenye blog yako sababu umeweka 'blogger only feature' acha sehemu ya comments on ili watu wachangie.
Umeelewa? Lugha not reachable???
ANONYMOUS 27 APRIL 2007 16:34 HATA WEWE NAFIKIRI HUJAELEWA NI KITU GANI NILIKUWA NAMUULIZA USIWE UNADAKIA VITU AMBAVYO HUJUI MAANA YAKE,MIMI SIJAOMBA UFANYE TRANSLATION KWANI NILIKUWA NILIISHAELEWA ANACHO ONGELEA NA NILIPOMUULIZA NIMEULIZA KUTAKA KUJUA HIYO BLOG YANGU NI IPI ANAYOISEMA YEYE AMBAYO NI YA KWANGU MAANA SO FAR I DO NOT OWN A BLOG KWAHIYO MZEE BE CAREFUL USIPENDE SANA KUDAKIA MAMBO OVYO BILA KUJUA NI KITU GANI KINAONGELEWA HALAFU MIMI SIKUOMBA UNIFANYIE TRANSALATION.
Post a Comment