Mambo ya formal hayo huwa yanahitaji mkwaju mmoja wa maana chini pindi unapolipuka formal kali na zilizoenda shule!Kama ukikamata mkwaju kama huu ukalipukia mambo ya Cadet Trouser ya Brown au Cream mambo nadhani yatakuwa mwake kinoma au hata ukijiachia na suruali zenye mistari mwembamba kwa mbali basi mambo yatakuwa swafi kabisa...nadhani mmenisoma wakurugenzi!
No comments:
Post a Comment