Pichani ni Mwanamziki Maarufu Bongo Jaydee ambaye kusema ukweli tukiachia swala la uimbaji wake hata pia katika swala la mavazi anajitahidi sana kujilipua na pamba nyepesi...kama pichani nadhani hiyo pama imemtoa fresh hata hyo blauzi nyepesi nyepesi sijui warembo mnasemaje hpo?
No comments:
Post a Comment