Wednesday, 25 April 2007

Tops Of All......!

Pichani ni kati ya wacheza sinema weusi Us ambao kwa kusema ukweli umahiri wao katika uchezaji sinema umewafanya mpaka wazungu wenyewe washindwe kuwabania na kuwapa salute kwa moyo mmoja kwa jinsi walivyoonyesha umahiri wao katika uchezaji sinema....kutoka kulia ni mzee mzima Denzel Washington,Halle Berry na Jamie Foxx.....wote hao ni balaa ingawa kuna wachezaji wengine balaa zaidi yao wa kiafrika kama akina Will Smith,Don Cheadle,Samuel .l.Jackson,Djimon Hounsou,Lawrance Fishburne n.k ila hao wamefanikiwa kupata tuzo hiyo kubwa sana katika maswala ya sinema dunia....ila kwa waafrika walishawahi kunyakua tuzo hiyo ni Sidney Poitier,Forest Whitaker...basi embu waoneni hao jamaa licha ya kuwika kwenye movie zao pia wanangaa hata kwa pamba hapo mnawaonaje wakuu...!


3 comments:

Simon Kitururu said...

Siutani wamependeza!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Denzel washington one of my favourite actors he really knows what to do and they both deserve that award si utani wametoka nyoko ile mbaya bila kumsahau Halle Berry hawa jamaa in movies nawakubali sana hasa Denzel Washington na Halle Berry big upp they make us Africans proud.........

Simon Kitururu said...

Mzee Sheria napita kisawasawa hapa , hivi lazima link zako ziwe kinamna namnahii?Nakuweka linki yako kwangu lakini usinitenge pia.Lakini weka linki ya wabongo kwako kutoka Global voice.Usitishikeke Nashauri tu!