Friday, 6 April 2007

*USHER RAYMOND,R&B MUSICIAN.*

Naomba wadau zangu mnipatia TOP 10 kati ya hawa Wanamziki Maarufu Dunia.Ningeomba ukinitumia maoni yako uniambia kuanzia Mwanamziki 1-10 katika list nitakayokupa.Tunaanza rasmi 1...2....3....!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh yaani hapa Walter umeniua kabisa yaani hii list nashindwa moja niazie wapi halafu kumi iishie wapi katika orodha zote ulizowahi kuniletea hii nakiri na kusema kuwa umenipa wakati mgumu sana maana hawa jamaa wote THEY ARE DOWN TO EARTH except for nas huyo ndio ninampa namba 10 spot duh WALTER hii list umenimaliza kabisa yaani nashindwa nani nimuweke wapi anywayz ngoja nikupe TOP TEN yangu halafu kila mmoja nakupa sababu kwanini anastahili nafasi niliyomuweka haya twende kazi sasa
1.P DIDDY - Huyu jamaa nampa hii jackpot sababu kwanza ni designer wa mavazi pia ana label yake nafikiri kama utakumbuka miaka minne iliyopita alishinda tuzo ya designer bora wa mavazi ya SEAN JOHN(If i am not mistaken)na katika industry hii ya mavazi amekaa kisawasawa na ninamkubali hasa kwenye masuala ya SUITS IN GENERAL YUKO FIT.

2. JAY Z - The C.E.O of ROC,HOVVA jamaa namkubali sana ukilinganisha kwenye ubunifu wa nguo za ROCAWEAR nampa points zake na ndio maana nimemuweka kwenye namba 2 spot mafanikio anayo lakini bado hajweza kujiweka kisawasawa kwenye suala la pamba kumpita mzee mzima DIDDY.

3. PHARELL WILLIAMS - Huyu mimi napenda kumuita INTELLIGENT BOY kuanzia kwenye MUSIC,NGUO HADI VIATU PHARELL ana kitu kinaitwa BILLIONAIRES BOYS CLUB hii ndio label yake kwenye masuala ya nguo namkubali sababu naye pia huwa ana design kumbuka pia ana design raba pia nguo zake pia na saa zingine huwa anatoka ndukii ile mbaya kwenye pamba na inakuwa ni mara chache sana kumkuta msanii mwingine amevaa hivyo.

4.USHER - Huyu jamaa wala tusiseme sanaa maana hapa hakuna ubishi hata ukimuuliza mtoto wa sekondari lazima atakutajia huyu jamaa naye amesimama ana vitu vyake adimu sanaa ukikuta amepiga lazima uta-appriciate.

5.R.KELLY - The greatest man huyu naye kwenye suala la kuvaa niko POSITIVE naye amesimama vizuri ninampa compliments zake lakini bado hajaweza kuwafunika hao wa juu yake nafikri hii nafasi ina mfaa sanaaa.

7.COMMON - Huyu muiite the CLASSIC MAN maana hakuna msanii anayevaa nguo classics kumzidi huyu linapokuja hilo suala hakuna ubishi huyu jamaa hakuna anayemfikia kabisa na nguo zinamtoa ile mbaya na amesimama kisawasawa.

8.KANYE WEST - I think he his great too jamaa naye nampa compliments zake kasimama vizuri sana na yuko fine .

9.T.I - Huyu mtu naye anafunika kwenye suala la pamba naye ametulia sana naye ana deserve kuwa kwenye top 10.

10.NAS - I have nothing to say about this dude he deserves this 10th spot.

Kwa ujumla WALTER hii ndio list yangu and those are my comments about all those MUSICIANS.

DERRICK MUSHOBOZI said...

WALTER hapa USHER RAYMOND alichofanya nafikiri utakubaliana na mimi kwamba amemechisha vizuri sana na ametoka bomba ile mbaya ukiangalia rangi ya kiatu alichovaa na shati alilovaa they go together ukiongezea na rangi ya koti na suruali hapo ndio balaa i love the outfit the dude dressed to impress.