Unatambua Kwamba.... Kaptula......Zimerudi ?
Swala la uvaaji kaptula au pensi tokea zamani lilikuwepo ila kwasasa imekuwa fashion kwa kasi sana na huwa inaambatana na aina tofauti za style kama uonavyo pichani juu.....na inapendeza sana kuvalia Bodyfit Sweater na Shirt Simple ndani,Pensi yako ya rangi yoyote unayopenda na unayojua ukimatch zinaendana kabisa na chini unalipuka na kobathi simple na ikiwezekana inapendeza pia hata kwa Driving Shoes au Loaferz.....wadau mpo hapo?
2 comments:
Mzee mzima wa sheria na mavazi hiyo pensi mchezo halafu upate ile white yenyewe iliyosimama halafu chini una sandals designer BANANA REPUBLIC I hope mzee unanipata hapo inakuwa si mchezo unafunika ile mbaya halfu juu unakuwa na shati fulani jepesi liwe la khaki au linen yote sawa unafunika kisawasawa tupo pamoja mzee wa sheria na mavazi.
oh ndio hivyo derrick unadhani sooo....unaniamiaje ukiwa umepata mtoko kidogo mitaa ya sea cliff au sleapway?si balaa
Post a Comment