




Hayo ndio mambo ya Black,Red & White zinavyokuwa zikimatchishwa na jinsi gani zinavyokuwa pindi mtu akilipuka fresh anavyotoka...embu tazama kuanzia juu nilivyopangiliwa kuanzia BKE Misshaped Bangle Bracelet, BKE Double Pendant Necklace, Daytrip Floral Tube Top,Guess Daredevil Stretch Jean,Sole Mollie Shoe....mmeonaje warembo...?
1 comment:
Ohhh well...The outfit is fabulous but I feel like the shoes culd be higher..but the outfit is completly nice.
Post a Comment