GOOD NEWZ!
Shoes & Gladz Boutique...Open Soon In Dar..Order Now!



Warembo nataka niwape habari njema ya kwamba kuna mdau wangu mkubwa anafungua duka la milipuko mbalimbali ya pamba za kisasa kuanzia viatu mbalimbali utapata,magauni ya kila aina,suti za kike na kiume kwa kila size na rangi tofauti unazotaka na pia ukiwa unataka akuletee order mbalimbali za vitu kwa jumla na rejareja atakufanyia pia kwa bei nzuri ambayo kila mmoja wenu ataweza kuimudu na kulipuka vilivyo....nadhani mnaona baadhi ya stock tu ya viatu alivyonavyo vya aina mbalimbali kuanzia wedges shoes,sharp shooter shoes,pointy toe shoes,court shoes....basi kazi kwenu kwa mawasiliano zaidi ukitaka order yoyote ya stock mwandikie kupika email ifuatayo j4maley@gmail.com.*ORDER NOW*
2 comments:
SAFI SANA HASA KWA WATU WANAOLALAMIKA KUWA HAKUNA NGUO NATUAMAINI ATAKUWA ANA STOCK ZA UKWELI WACHA TUMTAFUTE SHERIA TUONE STOCK ZAKE
Ok...sasa huyu mtu anafungua duka Bongo au nchi nyingine za nje....na uki order unamfuata alipo au ni delivery...naomba jibu kaka Sheria...thx
Post a Comment