



Siku zote ukifanikiwa kupata nguo zenye rangi nyeupe na nyeusi huwa zinapendezaga sana kama uonavyo pichani kuanzia Black portfolio grab bag,Black glass sphere pendant necklace, Black & white zig zag print wrap dress na Dollhouse Fable Shoe chini nadhani mmeupata mdungo huo......mjipange hapo warembo!
1 comment:
can't say many thing abt it..but it looks pretty Okey!!
Post a Comment