
Hayo ndio mambo ya blue,red & white zinapokuwa zimechanganywa ni jinsi gani zinaleta mvuto wa maana unapokuwa mrembo umeamua kujilipua na stock ful mass~nondo kama unavyoona ni jinsi gani leo nimeamua kuwapangia stock namna hiyo...embu jaribu kutazama kuanzia juu nilivyoanza kwa kukuwekea Painted Disc Earring (hereni),A.J. Morgan Margie Sunglasses (miwani),Daytrip Floral Top,Freshwear Eyelet Casual Short na mwishoni nimekupa Mia Venice Shoe kumalizia mchakato mzima ili uweze kukamilika ipasavyo kisawasawa warembo geraldine upo hapo mrembo?
2 comments:
Well...I like the combination but I feel like the blouse is a bit boring..I mean it shuld be more decorated and more stuff on it..but all other stuff especially the shoes and the accesories are nice
Hata! Wala sivai. Bendera ya marekani That kind of kiwalo is for the 4th of July, Independence day I guess.
Post a Comment