Thursday, 31 May 2007

Mambo Ya Gold & Black Warembo!!








Warembo hayo ni mapigo ya kumatchisha rangi ya Gold & Black kwa pamoja na mchepuo wake mzima unakuwaga kama unavyoona pichani mambo yalivyokuwa kamili..kwanza ukianzia na hiyo Fossil Gold Circle Watch (saa),A.J. Morgan Wilmington Sunglasses (miwani),Lucky Brand Sunset Tank,Gavin Casual Short na kukandimizia msumari wa mwisho na Naughty Monkey Out Of Line Shoe (high heels)...naona mmenisoma fresh kabisa warembo wote popote pale mlipo...



2 comments:

Anonymous said...

WOoW...the shoes are really really cooool...seriously...and the watch..all other things r nice but those two things r fabolous

Anonymous said...

I like I like...u r making me a regular visitor now...