Tuesday, 29 May 2007

Mambo Ya Hooded,T-Shirt,Down Pocket & Snickers!







Hayo ndo mapigo ya t-shirt,pensi,raba,na opp la maana....embu tazama kuanzia hiyo hooded ya legendery na t-shirt black ambazo zote ziko chini ya lebo ya kundi la muziki maarufu la The Roots,Downpocket la army colour na snickers ya Adidas Forest Hills....upo mzee mzima Maloni a.k.a Bike Hapo?



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the addidas forest hills the design its very tight specially when u have to wear it with a simple sided pocket shorts and a tight t shirt u will luk great in it