






Hayo ndio mambo ya harusi yanapofika ni lazima ukamate stock kama hizo na utoke kwa namna ya kipekee...embu tazama kuanzia magauni kwa upande wa bibi harusi na suti kwa upande wa bwana harusi...embu jaribu kumatchisha gauni gani ya bibi harusi ingependeza na suti gani ya bwana harusi katika hizo picha zote nane....nadhani mzee mzima derrick umeridhika hapo mwambie pia bro akamate stock mojawapo hapo....maanake mambo yako classic kinoma...
4 comments:
Hiyo picha ya tatu kwenye upande wa suti nimeikubali vilivyo imetulia sana na kwa bibi harusi hiyo picha ya kwanza kabisa ya gauni la harusi inamfaa sana imetulia sana it matches very well sheria nimekusoma mkuu hapo outfit nzuri sana hasa kama ni mtu unaoa
Mzee Stock hizi zinapatikana kwenye link gani, please publish link for hizi tuxedo
The Cinderella style matches to the white suit...and I like the Cinderella style..it's nice and it's old fashion but it STILL nice
Hapo bwana mimi nime fall kwenye hiyo gauni yenye mkanda wa purple.
Post a Comment