Monday, 7 May 2007

Simple Style Ila Choice Inamatter Sometime!

Embu tazama jinsi gani mzee mzima Kanye West na mchuchu wake hapo pembeni walivyotoka simple ila choice yao ya mavazi si mchezo...kama Kanye kavaa snickers simple wite,jeans black na shati lenye kola white na pembeni ujivu jivu flani na limenakshiwa na mistari white...na girlfriend wake kavaa gauni simple la light cream na hills za gold....embu tazameni ubunifu wa hilo gauni ni soo kwa kivupi warembo...mimi sina la kusema wadau..ni noma choice huwa inamatter sna muda mwingine nadhani!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Sheria mimi nimezimia tu shati alilovaa kanye west shati bomba sana pia belt imeenda sawa sawa mchuchu naye amesimama