




Wakurugenzi nimeona iwadunge mambo ya kuvaa t-shirt na jeans ni jinsi gani hii style iko makini na ndio style inazimikiwa sana na vijana wengi popote pale duniani....embu tazama rangi zenyewe kati ya black,green na blue zilivyomixiwa kwa wakati mmoja na zinavyoleta mvuto mzuri zaidi...nikianzia pichani juu nimeweka Guess Double Strap Watch,Guess Pacific Jersey T-Shirt,BKE Metal Belt,Guess Edward Boot Jean na Converse Simple Canvas Shoe nadhani wakuu zangu akina dennis,kikuli,eddy,biggie na deo mmeukubalia mlipuko huo kwa ujumla....
1 comment:
Hiyo t shirt na hiyo converse ni soo maana rangi ya hiyo converse ina match vizuri na jeans pia yaani imesimama full sheria yaani umegusa palepale
Post a Comment