Friday, 4 May 2007

Usimple Kwenye Funkymix Style!

Mhh Kwanza kwakuanzia tu na hiyo picha pichani sina la kusema zaidi ya kusem huyo mtoto Cassie ni mzuri na anakumbo cha kutatanisha sana..embu oa hiyo tight jeans ilivyomchora shape hiyo..,kijikoti kidogo,kijivest hivi chenye mistari istari,cheni kubwa na hereni kubwa...mhh ni balaa na nadhani kwa wale mliona Music Video (Long Way 2go) aliimba Cassie Mtamkubali mrembo kwa jinsi alivyotoka nyoko na kama uonavyo pichani na kumbuka chini alishindilia na butu moja kali vibaya sana...warembo nadhani mmemsoma mrembo cassie pichani mnamuonaje mapigo yake?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

She's beautiful and sexy thats all i can say