Monday, 25 June 2007

Adidas !





Hayo ndio mambo ya Adidas yalivyopamba moto kwani kila kukicha wanabadilisha style za rangi na hivyo kukidhi haja za wateja wao kwa kuwapa mixing za maana kwa kila rangi kama hapo unavyoona pichani ilivyotulia na nimekufanyia kwa kumatchisha na Sunglasses Black,Polo Black T-shirt na Blue fedout Jeans.......

No comments: