Wednesday, 6 June 2007

Amerudi Tena......R.Kelly!



Mwanamziki mahiri dunia R.kelly amerudi tena kwenye game kwa nguvu ya jabu na albums zake ambayo imeshehena nyimbo balaa maanake mistari,midundo na style yak mpya inatisha....hapo unawaona wanamziki wote wakali wa mziki wa r&b kelly akiwa na usher ambapo r.kelly kashatoa double album kwasasa ziko sokoni na usher inategmea kutoka hvi punde...hapo ni wako kwenye video set ya nimbo mpya inayopatikana kwenye album mpya ya kelly unaokwenda kwa jina a 'Same Girl'....vipi tinashe umeshapata stock hiyo?hashimu upo hapo?


2 comments:

Anonymous said...

same girl is a hot track. its the clash of the r&b legends. can't wait to c the video mzee!

DERRICK MUSHOBOZI said...

I like the way they have posed in this video they all look fyn i heard that usher is getting married soon cant wait to see that video either