Wednesday, 20 June 2007

Angelz.....!

Hayo ndio mambo ya kuvaa simple na kutoka bomba...hao ni warembo wakiwa na mdau wangu mkubwa j kwenye mtok flani na wakiwa wamejipigilia pamba simple lakini wametoka...Asante sana mrembo j kwa stock hii matata na safi sana....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

pozi mwanana halafu wametoka bomba ndani ya pamba nyepesi