Friday, 15 June 2007

Black And Red Classic Outfit!





Hapa sina lakusema sana warembo kwa leo ndio nimeona niwadunge stock hiyo classic sana ambayo imekuwa imematchishwa rangi mbili tu Red & Black kwa pamoja na usishangaa kuiona hiyo belt kwakuwa ukitazama kwa umakini sana utaona hilo gauni lina sehemu ya kupitishia mkanda....tukianzia juu nimekuwekea kuanzia Red jacquard bowling bag,Red wrap dress na wedes hizo za black na stich za red....nadhani mrembo j itakuwa ndio special stock yako niliyokuwekea leo....haha haa

3 comments:

Anonymous said...

hiyo kitu imetulia sana. Hiyo hata mimi navaa. Sexy lakini Classy pia. Hiyo ukivaa utageuza vichwa na kusimamisha trafic.lol

DERRICK MUSHOBOZI said...

eheeeeee eheeeeeee Judith mama taratibu ....the dress is fine but i luv the shoes more

S & R said...

I wouldn't wear the shoes or the bag...but the idea of the look is really nice and classy!!