





Hayo ndio mambo ya caual dress kwa leo warembo maanake naona mambo ya weekend yamewadia kwahiyo nimeona sina budi kuwadunga stock hiyo warembo ambao pia ni wadau wangu wakubwa...sasa nadhani mmesoma mdungo mzima ni jinsi gani umetulia na unavutia kwakuwa nimewadunga kwanza Black leather three compartment grab bag,Square Bangle Bracelet, Large Heart Pendant Necklace,Petite turquoise floral print tunic,Petite blue denim skirt and nimeona nimalizie msumari wa mwisho kwa kuwapa mdundo huo unaokwenda kwa jina la rsvp Yvette....nadhani mrmbo candy1 na mariam mmenisoma fika hapo na stock hiyo....haa ahaaha h
No comments:
Post a Comment