Sunday, 24 June 2007

Blue & White!





Mambo ya Blue & Whit yanavyomeremeta pindi 2 yanapokuwa yamekutana...nimeona nikuchap stock kuanzia juu mpaka chini viu vya maana tukianzia na hiyo Polo T-shirt,Blue Jeans na hizo Puma Simple....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Polo siku zote kwenye t shirt hawakosei hata kidogo na ukigusa t shirt yao lazima uikubali maana inakuwa imesimama bila kuwasahau puma kwenye mambo ya simple raba wamesimama vilivyo nawapa big up sana sheria stock hii nimeikubali hasa t shirt na raba