Sunday, 17 June 2007

Brown/Orange,White & Dark Blue!










Sina la ziada la kuongezea hapo pichani wadau ila nawapa fursa ya nyie kuchagua wenyewe mapigo makali na yaliyowaridhisha....kazi kwenu maanake nimewadunga Crest Cuff,Animated Watch, Manchester Ltd. Torn Wings T-Shirt,Dark Blue Jean n Pro-Kids simple...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh nimeikubali torn wings t shirt na pro kids zimesimama ile kinoma yaani hayo ni mapigo makali hizo simple ni sooo sheria nimekusoma hapo kwa stock hiyo matata