Tuesday, 5 June 2007

Classic Outfit....Black,White & brown!











Hayo ndio mambo ya kuvaa nguo simpe na kutoka cliassic kupita kiasi...embu tukianzia na hiyo Vostok Watch,Estate Driving Cap,Longsleeve Polo Shirt,Natural single crease trousers with black belt na huo mguu hapo sijui niupatie jina gani wadau moka ama loafers?kazi kwenu wadau zangu....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mimi nimezimika hasa na viatu na suruali rangi ya suruali iko poa sana ukizingatia kuwa ukikandamiza na long sleeve polo shirt pamoja na hiyo cap mzee lazima utoke bomba stayle hizo ni kama za mwanamuziki donell jones