Sunday, 24 June 2007

Evisu Simple!






Hayo ndio mambo ya Evisu Simple.....hii chata iko juu sana na viutu vinavyotengenezwa na Brand hii huuzwa ghali kidogo...sasa ndio nimeona niwawekee hiyo product na mapigo mwepesi ya kurandana nayo sawia kuanzia A.J. Morgan Mumbles Sunglasses,Element Wither T-Shirt,BKE Cornerstone Belt,Guess Edward Boot Jean na hiyo White & Brown/Gold Evisu Simple...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Evisu hawa jamaa nao wako juu sana nimeikubali t shirt jeans na raba white zimesimama kwa sanaa stock hio lazima ukisimama nayo watu wakukubali jinsi raba ilivodizainiwa ikiwa na ufito wa gold kwa nyuma nimependa sana lakini kwa bongo lazima angalau uvae kwenye special occasions maana na vumbi na tope la huku ndani ya miezi kadhaa akichelewi kufa