


Hata usiwe na wasiwasi mrembo pindi kutakaotokea swala zima la kumatch rangi ya aina moja kuanzia juu mpaka chini hii huwa inatokeaga tu mara nyingine...embu tukianzia kuanzia hiyo Red leather three compartment grab bag,Orange linen kaftan na kumalizia na Nina Calhoun shoe...nadhani warembo nimewakata kiu kabis hapo...nadhani dada yangu anna hapo umeusoma mchakato mzima wa hizo stock.....
2 comments:
Nice outfit but I dont get it...is that a mini dress or sumthin??but it's cool
cool, ila nafikiri ni ya kutokea, ukivaa kama nguo ya kawaida i mean kwa matumizi ya kawaida full red ni noma!!!
Is a very nive outfit though
Post a Comment