Friday, 15 June 2007

Haya Mambo Ya Pama Na Suspendez Hayo!

Nimeona leo nijidunge mwenyewe stock yangu nikiwa nimejinafasi kwenye mkia flani wa jogoo...nikiw nimejichapa stock kama unavyoona pichani....nadhani candy1 kiu yako nimeikata kisawasawa kwa kuniomba kuniona kwa mara nyingine...basi sina la kusema have a luk....

12 comments:

Anonymous said...

mmh sheria we handsome kumbe kama celebrity fulani vile

Anonymous said...

Hapo mdau umeua ila kofia ungepiga nyeusi au kijivu na upapi mweusi. Take that, constructive critism.
-still anon

Anonymous said...

aluu aminia kaka yangu nimekukubali

DERRICK MUSHOBOZI said...

What more can i say my pal nyc picture nice outfit and nice chick too

Simon Kitururu said...

Umetoka bomba!

Anonymous said...

mmh naona Sophia tuko wengi itabidi mimi nibadilishe jina, niweke na last name. Anyway wewe kaka ni handsome kweli yaani U R fine. Halafu unaonekana mtamu huyo! Kusema kweli mimi blog yako wala nilikuwa siimind sana huwa naangalia angalia wala sitoi comment wala nini, nilitoa comment siku za mwanzoni tu niliifahamu blog yako kupitia Shamim Zeze. Lakini kumbe jamaa mwenyewe ni mzuri basi nitakuwa natoa comment yoyote ile ili mradi najua kuna bonge moja la kaka mmoja mzuriiiiiiii on the other side of the world anasoma comment zangu basi mimi huku U.S.A roho yangu SHWARIIIIIII BARRRRDIIII!

Anonymous said...

Hehehehehehe...asante kaka Sheria kwa kusikiliza ombi langu na nasema tu...umetoka bomba..that's wot i can say...it's candy1

Sheria Ngowi. said...

hah ahaha sijui nianzie wai wadau zangu wote kabisa..kwanza kbs nawashukuru sana kwa comments zenu mblml...mrembo sophia mk pia ashukuru sana kwakuwa mdau wangu na nakukaribisha sana...

shamim a.k.a Zeze said...

lol.... aminia mshirika wangu umetoka msupu ama hakika unafaa kuuza sura aminiaaa.....hahahahaha da sophie naona roho bariiidi kabisa

keep it tight sheria endelea kuwakimbiza....naaminia 101%

Anonymous said...

jamani wewe kaka naomba nikuambe angalau neno moja roho yangu ipumzike,hivi wewe unajijua ni mzuri kiasi gani?nakuambiaje i wish mara elfu ningejua uk wapi nikufuate na hata kama unay mke i dont care tutabanana hapo hapo mhh damn your soooo handsome,can you please giveme your reay contacts?please please sheria?

Anonymous said...

wewe anonymous hapo juu vipi wewe naona umeniwahi kumuomba contacts zake, haya basi mimi nakuachia mchukue wewe maana naona umeniwahi.

Anonymous said...

Jamani I hope wadau mnaelewa kuwa huu ni utani tu msije mkanisemea kwa mume wangu