






Naona leo angalau nimeona niwape mambo ya classic style flani ambayo ni balaa...embu azama kuanzia juu mpaka chini...na ngojea nikupe info kidogo kuhusu mpangilio mzima wa milipuko hapo pichani kwa ujumla nikianzia na leather strap watch,brown trilby hat,dark grey brown blazer,printed shirt,Calfskin Spur Belt,dark grey trouser na kumalizia na huo mguu hapo chini unaojulikana kama Bikkembergs(loafer)...wazee wazima junior,gusto,errick,haki,tinashe mpo hapo?
1 comment:
Sheria mdungo huu umenikumbusha mwanamuziki donell jones maana yeye ndio style zake hasa kwenye kofia jamaa huwa ndio ananimaliza kabisa mkuu kiatu kimesimama vya kutosha rangi yake matata
Post a Comment