Sunday, 24 June 2007

Hivyo Ndio Vionjo Vya Milipuko Ndani Ya Video "Same Girl"

Pichani juu wadau zangu ni baadhi ya vionjo vya milipuko ya pamba mwanana ndani video mpya ya R.kelly Ft Usher ...embu naomba muujaribu kuikodolea angalau kidogo milipuko ya suti za maana watu hawa mahiri katika fani ya muziki walivyokandamiza vibaya vibaya....

2 comments:

Faith S Hilary said...

They look FINE in the video..and the video is quite funny at the end but the video is cool...like it...it's candy1

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eheee eheeee sheria i like the way the video is ending specially when chick appear to have a twin it made r kelly and usher luk bit stupid but also it left usher raymond laughing i like the suit r kelly is wearin luks good on him and in the whole video jamaa wamelipuka ni nomaaaa