Hayo ni mapigo simple wazee wazima kukandamizia siku za weekend kuanzia hiyo Vintage Newsboy Cap,White linen shirt,Sierra Linen Pant na hizo Navy Blue Driving Shoes...
Sheria acaha kabisa full mkandamizo white halafu unamalizia na driving shoes usipime sheria nimeikubali stock hio hasa kofia mambo ya donell jones hayo
1 comment:

Post a Comment